Mkurugenzi wa wasafi media Naseeb Abdul aka diamond platnumz amemkabidhi golikipaa wa young africans dola 4200 ambazo ni sawasawa na million 10 za kitanzania.
Tukio hili limetokeaa baada ya kipa huyo kuonyeshaa kiwango kikubwaa sanaa katika mchezo wa fanalia uliopigwa algeria kati ya yanga na USMalger.
Moja kati ya watu ambao walikua wanasubiria kwa hamu kuzishika medali za cafconfederationcup na kupata nazo picha ya kumbukumbu ni mkurugezi wa wasafi media Naseeb Abdul maarufu kama Diamondplatinumz
Na leo Rais Eng. Hersi amehakikisha hilo linafanikiwa kwa kumvalisha yeye mwenyewe
Na leo Rais Eng. Hersi amehakikisha hilo linafanikiwa kwa kumvalisha yeye mwenyewe
0 Comments